Video Mpya ya Injili : RISANDI LAIZER - WEWE NI BWANA


Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Jijini Arusha Risandi Laizer anakukaribisha kutazama Video ya Wimbo wake Mpya wa Injili unaoitwa 'Wewe ni Bwana' Unaweza kuwasiliana na Risandi Laizer kwa simu namba 0766200459 au barua Pepe rlaizer.tz108@gmail.com

Tazama video hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post