Breaking

Post Top Ad

Wednesday, December 8, 2021

Video : RAIS SAMIA AKILIHUTUBIA TAIFA DESEMBA 8,2021


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
 **
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, usiku wa leo Jumatano ya Desemba 8, 2021, amewahutubia Watanzania na kuwasihi kwamba waendelee kutembea vifua mbele na kujivunia maendeleo yaliyopo kwa sasa.

Kauli hiyo ameitoa katika kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, ambayo kitaifa yatafanyika jijini Dar es Salaam, hapo kesho Desemba 9, 2021.

Tazama hotuba ya Rais Samia hapa chini

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages