Breaking

Post Top Ad

Thursday, December 9, 2021

Picha : MAKOMANDOO WAKISHUKA KWA KAMBA KUTOKA JUU YA HELIKOPTA


Makomando wakishuka kwa kamba kutoka juu ya helikopta wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru Tanzania bara yaliyofanyika leo Desemba 9, 2021 katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es salaam.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages