Breaking

Post Top Ad

Thursday, December 9, 2021

Picha: MAKOMANDOO MBALIMBALI WA JESHI LA WANANCHI JWTZ KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA

Makomando Wa JWTZ (Wanamaji na Nchi kavu) wakipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan Kwa mwendo wa kunyakua na kutoa heshima katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru leo Desemba 9, 2021 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Wanajeshi hawa wamebeba mabegi yenye vifaa mbalimbali vyenye uzito usiopungua Kilogramu 30 wanavyovitumia wanapokuwa katika majukumu yao ya ulinzi wakati wa amani na wakati wa vita.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages