Breaking

Post Top Ad

Tuesday, December 7, 2021

ABBAS MWINYIMKUU WA KAWE ASHINDA BODABODA YA BIKO

Mshindi wa bodaboda ya Biko Abbas Mwinyimkuu ambaye pia ni mwanachama wa klabu ya Simba na Mwenyekiti wa Tawi la Simba Kawe akiwa juu ya pikipiki aliyoshinda kutoka kwenye bahati nasibu ya Biko Jumamosi iliyopita katika Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe, jijini Dar es Salaam, katika Tamasha la Komaa Concert lililoandaliwa na EFM Radio, huku Biko wakiwa sehemu ya wadhamini wa tamasha hilo. 

Mshindi wa bodaboda ya Biko Abbas Mwinyimkuu ambaye pia ni mwanachama wa klabu ya Simba na Mwenyekiti wa Tawi la Simba Kawe, akipokea karatasi muhimu za umiliki wa hicho cha usafiri kutoka kwa waendeshaji wa bahati nasibu ya Biko ikiwa ni zawadi maalum iliyoandaliwa katika Tamasha la muziki la Komaa Concert lililofanyika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe, jijini Dar es Salaam, chini ya EFM Radio kwa udhamini mnono wa Biko. Anayekabidhi nyaraka hizo ni Meneja Masoko wa Biko Goodhope Heaven na kushuhudiwa na mtangazaji wa EFM, Jackilne Charles kushoto. Picha na Mpigapicha Wetu.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages