Breaking

Post Top Ad

Sunday, November 7, 2021

Picha : RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA NEC IKULU, DODOMAMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 7, 2021 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa iliyokutana Ikulu, Chwamwino Mkoani Dodoma.
PICHA NA IKULU

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages