Breaking

Post Top Ad

Saturday, November 20, 2021

KIJANA UVCCM ARUSHA AMZAWADIA KITABU CHA 'MZEE RUKHSA' PROF. LUMUMBAKijana wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) jijini Arusha, Nathan Kimaro amemzawadia nakala ya kitabu cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi (MZEE RUKHSA), Msomi na Mwanajumui wa Afrika (Pan-Africanist) Profesa Patrick Lumumba hapo jana jijini humo.

 Prof Lumumba alikuwa mgeni mwalikwa kwenye mkutano wa Kimataifa ulioandaliwa na Taasisi ya WAJIBU , uliofanyika kwa siku mbili (Novemba 18-19,2021) jijini Arusha uliohusu masuala ya Uwazi, na Uwajibikaji kwa mwaka 2021 (International Transparency and Accountability Conference 2021 (ITAC 2021).

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages