Breaking

Post Top Ad

Tuesday, October 26, 2021

RAIS SAMIA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE.LOWASSA KUMJULIA HALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa wakati alipo mtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo tarehe 26 Oktoba 2021. Kushoto Mke wa Mhe. Lowassa Mama Regina Lowassa. PICHA NA IKULU.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages