Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Wimbo Mpya : RISANDI LAIZER - BWANA NIONGOZE



Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Arusha Risandi Laizer anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa Bwana Niongoze. Unaweza kuwasiliana na Risandi Laizer kwa simu namba 0766200459 au barua Pepe rlaizer.tz108@gmail.com

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com