UZINDUZI WA JEZI MPYA ZA SIMBA SC WAAHIRISHWA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Saturday, September 4, 2021

UZINDUZI WA JEZI MPYA ZA SIMBA SC WAAHIRISHWA


Muonekano wa jezi mpya za klabu ya Simba zitakazotumika mechi za nyumbani msimu wa 2021/22 kwenye mashindano mbalimbali.

Wekundu wa Msimazi Simba SC wameahirisha tukio la uzinduzi rasmi wa jezi zao mpya lililokuwa lifanyike leo Jumamosi Septemba 4,2021 Dar es Salaam.

Klabu hiyo imesema kuwa matukio yote ya sherehe sasa yatafanyika wakati wa wiki ya Simba inatarajia kuanza siku ya Jumatatu, September 13-19, 2021.
Jezi za ugenini
Jezi chaguo la tatu


Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages