WAZIRI WA MADINI DOTO BITEKO ATEMBELEA BANDA LA BENKI YA NMB MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA


Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko (kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Benki ya NMB tawi la Manonga, Sebastian Kayaga kuhusu huduma zinazotolewa katika Benki ya NMB ikiwemo Mikopo kwa wachimbaji wa madini leo Jumapili Agosti 1,2021 wakati akifunga Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga katika uwanja wa Zainab Telack Butulwa kata ya Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kulia ni Meneja wa Benki ya NMB tawi la Manonga, Sebastian Kayaga akimwelezea Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko huduma zinazotolewa na Benki ya NMB alipotembelea banda la NMB kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga.
Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko (kulia) akizungumza kwenye banda la benki ya NMB leo Jumapili Agosti 1,2021 wakati akifunga Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga katika uwanja wa Zainab Telack Butulwa kata ya Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments