WAZIRI BITEKO ATEMBELEA BANDA LA SHINYANGA BEST IRON MAONESHO SHINYANGA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Sunday, August 1, 2021

WAZIRI BITEKO ATEMBELEA BANDA LA SHINYANGA BEST IRON MAONESHO SHINYANGA


Mkurugenzi wa Kampuni ya Uundaji wa Vifaa vya Uchimbaji na Uchenjuaji Madini ya Shinyanga Best Iron, Kashi Salula (kulia) akimwelezea Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko kuhusu changamoto ya umeme inayowakabili wachimbaji wadogo ambapo aliishukuru serikali kwa kupeleka umeme maeneo ya machimbo lakini umeme huo hauna nguvu ya kuwasha mitambo hivyo akaomba changamoto hiyo itatuliwe.

Waziri Biteko ametembelea Banda la Shinyanga Best Iron wakati akifunga Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga katika uwanja wa Zainab Telack Butulwa kata ya Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko (katikati) akiangalia shughuli za uchimbaji na uchenjuaji madini ya dhahabu katika banda la Kampuni ya Uundaji wa Vifaa vya Uchimbaji na Uchenjuaji Madini ya Shinyanga Best Iron
Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko (kulia) akiangalia shughuli za uchimbaji na uchenjuaji madini ya dhahabu katika banda la Kampuni ya Uundaji wa Vifaa vya Uchimbaji na Uchenjuaji Madini ya Shinyanga Best Iron
Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko akiwa katika banda la Kampuni ya Uundaji wa Vifaa vya Uchimbaji na Uchenjuaji Madini ya Shinyanga Best IronDownload/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages