Mwenyekiti wa Kikundi cha Better Together, Mussa Jonas Ngangala akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Kikundi cha Kikundi cha Better Together, Januari 24,2026 katika ukumbi wa Makindo Hotel Mjini Shinyanga - Picha na Kadama Malunde
Mwenyekiti wa Kikundi cha Better Together, Mussa Jonas Ngangala akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Better Together
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Kikundi cha Better Together umefanyika leo, Jumamosi Januari 24, 2026, katika ukumbi wa Makindo Hotel, mkoani Shinyanga, ukihudhuriwa na wanachama zaidi ya 300 kutoka ndani na nje ya mkoa huo.
Kikundi hicho cha kusaidiana katika nyakati za shida na raha, kinachoongozwa na Mwenyekiti wake Mussa Jonas Ngangala, kilianzishwa mwezi Oktoba 2025 na kinaendelea kukua kwa kasi kwa kuwakutanisha wanachama wenye lengo la kuinuana kijamii na kiuchumi.
Mkutano huo, ambao ni wa pili tangu kuanzishwa kwa kikundi hicho, umelenga kujadili masuala mbalimbali muhimu ikiwemo kufanya marekebisho ya kanuni na Katiba ya kikundi, pamoja na kuweka mikakati na mipango ya pamoja itakayohakikisha kikundi hicho kinafikia malengo yake ya msingi ya kuwawezesha wanachama kiuchumi.
Viongozi wa kikundi hicho wameeleza kuwa marekebisho hayo ni hatua muhimu ya kukijenga kikundi katika misingi imara ya uongozi, uwazi na uwajibikaji, huku wakisisitiza mshikamano na ushiriki wa wanachama wote katika kufanikisha azma ya pamoja.
Mwenyekiti wa Kikundi cha Better Together, Mussa Jonas Ngangala akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Kikundi cha Kikundi cha Better Together leo Jumamosi Januari 24,2026 katika ukumbi wa Makindo Hotel Mjini Shinyanga - Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mwenyekiti wa Kikundi cha Better Together, Mussa Jonas Ngangala akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Kikundi cha Kikundi cha Better Together, Januari 24,2026 katika ukumbi wa Makindo Hotel Mjini Shinyanga

Katibu wa Kikundi cha Better Together, Innocent Shayo akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Kikundi cha Kikundi cha Better Together, Januari 24,2026 katika ukumbi wa Makindo Hotel Mjini Shinyanga

Mjumbe Kamati ya Uongozi Better Together, Athanas Mazula akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Kikundi cha Kikundi cha Better Together

Meneja wa UTT- AMIS Kahama, Abbas Kandila akielezea kuhusu Kampuni ya Uwekezaji ya UTT Asset Management and Investor Services (UTT AMIS)

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Social Plugin