MCHAMBUZI NGULI WA SOKA MWALIMU KASHASHA AFARIKI DUNIA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Thursday, August 19, 2021

MCHAMBUZI NGULI WA SOKA MWALIMU KASHASHA AFARIKI DUNIA

Mwalimu Theogenes Alex Kashasha enzi za uhai wake
Mchambuzi maarufu wa soka, Mwalimu Theogenes Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.

Kashasha alikuwa mtumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hadi umauti ulipomfika.

Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages