Tanzia : MMILIKI WA PEACOCK HOTEL AFARIKI DUNIA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Saturday, July 31, 2021

Tanzia : MMILIKI WA PEACOCK HOTEL AFARIKI DUNIA


Mmiliki wa hoteli ya Peacock, Joseph Mfugale amefariki dunia leo Jumamosi Julai 31 asubuhi jijini Dar es Salaam kwa kile kilichoelezwa kuwa alikuwa ameugua muda mrefu.


Mfugale ni miongoni mwa wamiliki wa hoteli wazawa aliyepata mafanikio katika biashara hiyo, akifungua hotel Dar es Salaam na nyingine mkoani Iringa.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages