GILITU ENTERPRISES LTD YASHIRIKI MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, July 28, 2021

GILITU ENTERPRISES LTD YASHIRIKI MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA

  Malunde       Wednesday, July 28, 2021

Mfanyakazi wa Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd ya Mjini Shinyanga inayojihusisha na Utengenezaji na Uuzaji mafuta ya kupikia ya alizeti na pamba, Neema Elias akielezea kuhusu mafuta ya alizeti kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Julai 28,2021.

Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga yanayoongozwa na kauli mbiu “Uwekezaji wa Madini na Viwanda Shinyanga kwa Uchumi Endelevu” yameanza tarehe 23 Julai, yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 1 Agosti, 2021 katika uwanja wa Zainab Telack kijiji cha Butulwa kata ya Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
Mfanyakazi wa Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd ya Mjini Shinyanga inayojihusisha na Utengenezaji na Uuzaji mafuta ya kupikia ya alizeti na pamba, Neema Elias akionesha mafuta ya alizeti kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Julai 28,2021.
Mfanyakazi wa Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd ya Mjini Shinyanga inayojihusisha na Utengenezaji na Uuzaji mafuta ya kupikia ya alizeti na pamba, Neema Elias akionesha mafuta ya pama kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga.
Mfanyakazi wa Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd ya Mjini Shinyanga inayojihusisha na Utengenezaji na Uuzaji mafuta ya kupikia ya alizeti na pamba, Neema Elias akionesha mafuta ya alizeti ya lita moja kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga.
Mafuta ya alizeti yanayotengenezwa na Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd ya Mjini Shinyanga inayojihusisha na Utengenezaji na Uuzaji mafuta ya kupikia ya alizeti na pamba yakiwa kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga.
Mafuta ya pamba yanayotengenezwa na Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd ya Mjini Shinyanga inayojihusisha na Utengenezaji na Uuzaji mafuta ya kupikia ya alizeti na pamba yakiwa kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Julai 28,2021.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blogUsikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post