MKUU WA WILAYA YA KISARAWE NICKSON SIMON 'NIKKI WA PILI' AFUNGUKA BAADA YA KUAPISHWA | MALUNDE 1 BLOG

Monday, June 21, 2021

MKUU WA WILAYA YA KISARAWE NICKSON SIMON 'NIKKI WA PILI' AFUNGUKA BAADA YA KUAPISHWA

  Malunde       Monday, June 21, 2021

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Nickson Simon 'Nikki wa Pili' amefunguka baada ya kuapishwa na Mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge kuwa Mkuu wa wilaya hiyo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nikki wa Pili ameandika kuwa  "Kwanza namshukuru Mungu, pili Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, MHe. Samia Suluhu Hassan kwa kuniamini na kunipa nafasi ya kuwatumikia wananchi wa Kisarawe na Serikali

"Nina ahidi kutumia vipawa vyangu, busara zangu na uwezo wangu kuifanya kazi hii nikishirikiana na watumishi wenzangu pamoja na wananchi kusukuma mbele gurudumu la maendeleo. Shukrani kwa wote walio nitumia salamu za pongezi na mimi nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano"
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post