Picha : MKUTANO WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA, JIJINI DAR ES SALAAM LEO | MALUNDE 1 BLOG

Monday, June 21, 2021

Picha : MKUTANO WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

  Malunde       Monday, June 21, 2021

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Nyakimura Muhoji (aliyesimama) akifafanua jambo kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Tume namba 4,kwa mwaka 2020/2021 Jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Kamishna wa Tume, Mheshimiwa Daniel Ole Njoolay. (Picha na PSC).
Baadhi ya Maafisa wa Tume wakifuatilia Mkutano wa Tume Namba 4 kwa mwaka 2020/2021 ulioanza leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Bibi Neema mkenda (Afisa Utumishi), Bibi Kombe Shayo (Katibu wa Afya) na Bibi Christina Muhe (Afisa Utumishi). (Picha na PSC).
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, jaji (mstaafu) Dkt. Steven J. Bwana (aliyekaa katikati) akisaini nyaraka wakati wa Mkutano wa Tume Na. 4 kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ulioanza leo Jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mheshimiwa George Yambesi , Kamishna wa Tume (kushoto) na Bw. Nyakimura Muhoji (kulia) Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma. (Picha na PSC)
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post