MAKAMU WA RAIS DKT. PHILIP MPANGO AWASILI DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea Jijini Dar es salaam alikohudhuria Hafla ya kuapishwa kwa Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu wa Wizara mbalimbali pamoja na Baadhi ya Makamishna wa Taasisi za Serikali, leo April 06,2021  Ikulu Jijini Dar es salaam.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments