SHIRIKA LA NDEGE LA TANZANIA (ATCL) LAPATA HASARA YA BILIONI 60 | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, March 28, 2021

SHIRIKA LA NDEGE LA TANZANIA (ATCL) LAPATA HASARA YA BILIONI 60

  Malunde       Sunday, March 28, 2021


 Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Serikali, Charles Kichere amesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limetengeneza hasara ya Shilingi bilioni 60 kwa mwaka na kwa kipindi chote cha miaka ya nyuma shirika hilo limekuwa likijiendesha kwa hasara.

CAG, Kichere amebainisha hayo wakati wa uwasilishaji wa ripoti yake kwa mwaka wa fedha 2019/2020 kwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma hii leo.

“Katika ukaguzi wetu wa mwaka 2019/2020 tumegundua Shirika letu la Ndege limetengeneza hasara mwaka huu ya Tsh bilioni 60 ila kwa miaka mitano pia limekuwa likitengeneza hasara, kuna changamoto ambazo Serikali inabidi iziangalie ili Shirika letu litekeleze majukumu yake vizur,”alisema Kichere.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post