Video Mpya : BHUDAGALA - TUTAKUKUMBUKA MAGUFULI


Msanii wa Nyimbo za Asili Bhudagala ameungana na Watanzania kuomboleza kifo cha Aliyekuwa Rais wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kwa kuachia wimbo alioupa jina la Tutakukumbuka Magufuli

Tazama Hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post