MAJALIWA AKAGUA MAANDALIZI YA UWANJA WA JAMHURI DODOMA UTAKAOTUMIKA KWA AJILI YA UAPISHO WA RAIS WA TANZANIA | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, November 4, 2020

MAJALIWA AKAGUA MAANDALIZI YA UWANJA WA JAMHURI DODOMA UTAKAOTUMIKA KWA AJILI YA UAPISHO WA RAIS WA TANZANIA

  Malunde       Wednesday, November 4, 2020
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, wakati akiwasili kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma leo Novemba 4, 2020, kukagua maandalizi ya uwanja huo utakaotumika kwa ajili ya uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utakaofanyika kesho Novemba 5, 2020.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post