Watanzania leo October 28, 2020 wameanza kupiga kura kuchagua Rais, wabunge na madiwani watakaoongoza kwa miaka mitano ijayo.
Hatua hiyo inakuja baada ya kumalizika kwa miezi miwili ya kampeni zilizovuta maelfu ya watu katika mikutano ya wagombea urais.
Lakini mikutano ya wagombea ubunge na udiwani ilivuta wananchi wachache na hivyo kuwalazimisha kutumia mbinu mbadala ya kujinadi, ambayo ilikuwa ni kuwafuata vijiweni, majumbani na katika sehemu zao za shughuli za kiuchumi.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji Semistocles Kaijage amesema katika uchaguzi, Tume itatumia jumla ya vituo vya kupiga Kura 81,567 vikiwemo vituo 80,155 vinavyotokana na daftari la NEC na vituo 1,412 vya ZEC.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin