TUME YA UCHAGUZI YAONYA WALIOJIPANGA KUTANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, October 21, 2020

TUME YA UCHAGUZI YAONYA WALIOJIPANGA KUTANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI

  Malunde       Wednesday, October 21, 2020


 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa (NEC) Jaji Semistocles Kaijage ameonya vikali taasisi, watu au vikundi vya watu waliojipanga kutangaza matokeo ya uchaguzi baada ya zoezi la upigaji wa kura Oktoba 28 kwa kufanya hivyo ni ukiukwaji wa sheria na kanuni za uchaguzi mkuu kwa mujibu wa katiba ya nchi.

Kauli hiyo ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi anaitoa zikiwa zimebakia siku nane kuelekea katika uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani na kubainisha jukumu la kutangaza washindi wa uchaguzi ni tume ya taifa pekee na sio vinginevyo.

Kadhalika mwenyekiti huo wa uchaguzi akatangaza zoezi la kuanza kutoa vitambulisho kwa mawakala walioteuliwa na vyama vya siasa kuanzia oktoba 21
 


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post