TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, October 1, 2020

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI

  Malunde       Thursday, October 1, 2020

Dodoma, 01 Oktoba, 2020
Wizara ya Kilimo inapenda kuwataarifu wananchi na wadau wote wa sekta ya kilimo nchini kuwa Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani yatafanyika kitaifa mkoani Njombe kuanzia tarehe 10 Oktoba 2020 na kilele chake itakuwa tarehe 16 Oktoba 2020.

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo (01.10.2020) na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Omary Mgumba jijini Dodoma imesema maandalizi ya maadhimisho hayo yamekamilika na kuwa wizara, taasisi, wakala, mashirika ya kimataifa na kitaifa zinakaribishwa kujitokeza kushiriki kwenye maadhimisho ya mwaka huu.

Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani  mwaka huu inasema “Kesho Njema Inajengwa na Lishe Bora Endelevu” .

Imetolewa na;
Revocatus Kassimba
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post