MGOMBEA URAIS DK. MAGUFULI AFANYA MKUTANO MKUBWA KARATU AKINADI SERA ZA CCM..HIZI HAPA KAULI ZAKE AKIOMBA KURA

MAGUFULI DAY: Yaliyojiri na Aliyoyaongea Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Kutoka Wilayani Karatu Mkoani Arusha Kwenye Mkutano Mkubwa wa Kampeni wa Kunadi Sera za CCM na Kuomba Kura kwa Wananchi wa Karatu. Karatu wanasema sasa imetosha na wako tayari kwa mabadiliko ya kweli kuichagua Wagombea wote wa CCM.

#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM 
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Karatu katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya mnadani Karatu mkoani Arusha leo tarehe 24 Oktoba 2020. Wananchi wa Karatu wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya mnadani Karatu mkoani Arusha wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia leo tarehe 24 Oktoba 2020.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments