DK. MWINYI AENDELEA KUMWAGA SERA KEMKEM ZA CCM ... AAHIDI UCHUMI WA KISASA WA BLUU NA KIJANI ZANZIBAR

MWINYI 2020: Dkt Mwinyi, Mgombea Urais wa CCM Zanzibar anaendelea kukutana na Maelfu kwa maelfu ya Wazanzibar na kuwaeleza adhima yake ya kutaka kuibadilisha Zanzibar kwenda kwenye Uchumi wa kisasa wa Bluu na Kijani baada tu ya kuchaguliwa na Leo amefanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni Kwenye Viwanja Vya Gombani ya Kale, Wilaya ya Chake Chake, Pemba na haya ndiyo aliyoyaongea Kwenye Mkutano huo Mkubwa uliohudhuriwa pia na Mgombea Mwenza wa CCM-Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.

#YajayoniNeematupu
#Mwinyi2020

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post