MCHUNGAJI PETER MSIGWA APOTEZA UBUNGE IRINGA MJINI....MSHUNDI NI JESCA MSAMBATAVANGU | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, October 29, 2020

MCHUNGAJI PETER MSIGWA APOTEZA UBUNGE IRINGA MJINI....MSHUNDI NI JESCA MSAMBATAVANGU

  Malunde       Thursday, October 29, 2020


 Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Iringa Mjini amemtangaza Jesca Msambatavangu wa CCM kuwa mshindi wa ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 36,034 dhidi ya mpinzani wake Peter Msigwa Chadema aliyepata kura 19,331 .

Mchungaji Peter Msigwa alikuwa akilitetea Jimbo hilo la Iringa aliloliongoza kwa miaka 10
.

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post