ESTER MATIKO AANGUSHWA....MICHAEL KEMBAKI WA CCM ASHINDA UBUNGE TARIME MJINI | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, October 29, 2020

ESTER MATIKO AANGUSHWA....MICHAEL KEMBAKI WA CCM ASHINDA UBUNGE TARIME MJINI

  Malunde       Thursday, October 29, 2020

 Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Tarime Mjini, Ester Matiko ameshindwa kutetea nafasi yake baada ya kushindwa na mshindani wake, Michael Kembaki wa Chama cha Mapinduzi.


Msimamizi wa uchaguzi katika jimbo hilo, Elias Ntiruhungwa amesema kuwa Kembaki ameshinda kwa kupata kura 18,235 huku Matiko akipata kura 10,873 na mgombea wa NCCR Mageuzi, Ester Nyagabona akipata kura 143.

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post