MGOMBEA URAIS DK MAGUFULI AKIWAELEKEZA WANANCHI WA MWANGA JINSI YA KUMPIGIA KURA

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwaelekeza Wapiga Kura katika Jimbo la Mwanga jinsi ya kumpigia Kura yeye kwa kuweka TIKI pamoja na Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan leo katika mkutano wa Kampeni za CCM leo tarehe 21 Oktoba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Maufuli akiwaelekeza Wapiga Kura katika Jimbo la Mwanga jinsi ya kumpigia Kura yeye kwa kuweka TIKI pamoja na Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan leo katika mkutano wa Kampeni za CCM leo tarehe 21 Oktoba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Moshi waliofurika katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro leo tarehe 21 Oktoba 2020.

Sehemu ya Wananchi wa Moshi waliohudhuria Mkutano wa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuliuliofanyika katika uwanja wa Ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro leo tarehe 21 Oktoba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mkutano wa Kampeni za CCM leo tarehe 21 Oktoba 2020.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments