WATUMISHI NA MAGUFULI: Haya ni baadhi ya mambo yaliyotekelezwa kwa vitendo kwa watumishi wa Umma chini ya uongozi wa Dkt John Pombe Magufuli ambaye ni Mgombea Urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Itoshe tu kusema watumishi wote tunaimani na JPM.
#T2020JPM #VitendoVinaSauti #MITANOTENA #KaziZaidi
Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527