Tazama Video Masanja Mkandamizaji alipotembelea Fly Over za Ubungo- Dar es salaam na kujionea maendeleo ya Awamu Ya Tano chini Ya Mwenyekiti Wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli Na Kukiri Kwamba JPM ni HeavyWeight Wa Maendeleo.#T2020JPM
Tazama picha
Masanja Mkandamizaji akishangilia kwenye Barabara za Fly Over Ubungo Jijini Dar es saalam
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako