Tanzia : MTANGAZAJI WA TBC ELISHA ELIA AFARIKI DUNIA | MALUNDE 1 BLOG

Saturday, October 24, 2020

Tanzia : MTANGAZAJI WA TBC ELISHA ELIA AFARIKI DUNIA

  Malunde       Saturday, October 24, 2020

Elisha Elia enzi za uhai wake.

Mtangazaji wa TBC, Elisha Elia amefariki Dunia leo Jumamosi Oktoba 24,2020 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam alikokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu.

 Hii ni sehemu ya Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayub Rioba:

"Mkurugenzi Mkuu wa TBC,Dkt. Ayub Rioba anasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu, Mwandishi wa Habari Elisha Elia, kilichotokea tarehe 24/10/2020 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Taarifa zaidi zitatolewa".

R.I.P Elisha Elia.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post