Leo, tarehe 04 September 2020, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu
ataendelea na uzinduzi wa kampeni ambapo leo atazindua kampeni kwenye kanda ya kati.
Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya shule ya msingi Uhuru mkoani Dodoma.
Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527