" Picha : MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA BAHI

Picha : MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA BAHI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa na mamia ya wananchi wakati akiwasili  wilayani Bahi mkoa wa Dodoma kwa mkutano wa kampeni wa hadhara leo Jumanne Septemba 1, 2020, ikiwa ni kituo chake cha kwanza tangu azindue rasmi kampeni zake za kugombea Urais



Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527