MGOMBEA MWENZA URAIS KUPITIA CCM SAMIA SULUHU AWAHUTUBIA WANANCHI WA MBEYA


 
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Kiwira Magereza na Uyole Njia Panda Jijini Mbeya Mkoani Mbeya alipokuwa kwenye mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 22,2020
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Mbeya Mjini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa CCM Ruanda Nzove Mkoani Mbeya leo Septemba 22,2020. 
Mshabiki na Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM akionesha Ushabiki wake kwa Chama chake kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa CCM Ruanda Nzove Jijini Mbeya Mkoani Mbeya leo Septemba 22,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527