Picha : MAGUFULI AUNGURUMISHA SERA ZA CCM MBELE YA MAELFU YA WANANCHI MJINI BUKOBA


Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye
Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020. PICHA NA IKULU
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye
Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza sala ya kuombea wanafunzi 10 waliofariki dunia na wengine kujeruhiwa kwa ajali ya moto katika Shule ya Msingi Islamic
Byamungu iliyopo kata yaIrera Wilayani Kyerwa mkoani Kagera iliyotokea juzi kabla ya kuanza kwa mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Maelfu kwa Maelfu ya Wananchi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vyaGymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mbunge wa Bukoba mjini na Waziri wa Maliasili na Utalii Mstaafu Balozi Khamis Juma Suedi Kagasheki akimnadi Bw. Stephen Byabato (aliyejishika mikono) kugombea ubunge wa
jimbo hilo huku Meya Mstaafu wa Manispaa ya Bukoba Dkt. Anatory Amani (kulia) akingoja kufanya hivyo katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo Bukoba Vijijini Mhe. Jason Rweikiza huku wabunge wateule wa CCM Viti maalum wakingoja
zamu zao baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leoJumatano Septemba 16, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye
Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye
Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Wasani wa TMK wakiwa na alama kuu za CCM baada ya kutumbuiza kwenye mkutano wa kampeni viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Septemba 16, 2020

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527