RAIS MAGUFULI AHUDHURIA KILELE CHA MKUTANO MKUU WA KANISA LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD JIJINI DODOMA | MALUNDE 1 BLOG

Friday, August 14, 2020

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA KILELE CHA MKUTANO MKUU WA KANISA LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD JIJINI DODOMA

  TANGA RAHA BLOG       Friday, August 14, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga waumini baada ya kuhudhuria Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of GOD (TAG) jijini Dodoma leo Agosti 14, 2020.PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of GOD (TAG) baada ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo jijini Dodoma leo Agosti 14, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na viongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of GOD (TAG) wakati wa kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo jijini Dodoma leo Agosti 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wainjilisti katika  Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) baada ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo  jijini Dodoma leo Agosti 14, 2020.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post