RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA 20 YA MWAKA A KATIKA KANISA KATOLIKI CHAMWINO LEO | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, August 16, 2020

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA 20 YA MWAKA A KATIKA KANISA KATOLIKI CHAMWINO LEO

  TANGA RAHA BLOG       Sunday, August 16, 2020


Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Baba Paroko Paul Mapalala wakisali katika Grotto ya Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akishiriki katika Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A  katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leoJumapili Agosti 16, 2020
Mhe.Rais Dkt.JohnPombe Magufuli akipokea Sakramenti Takatifu kutoka kwa Baba Paroko Paul Mapalala wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A  katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akishiriki katika Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A  katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo
Jumapili Agosti 16, 2020
Mhe.Rais Dkt.John Pombe Magufuli akishirikiana na waumini wenzake kutoa sadaka wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A  katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post