Picha : MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA KUU LA WANAWAKLE TANZANIA (UWT )

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza hilo uliofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma.


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtunuku Tuzo Maalum Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kwa kutambua mchango wake na kuwawakilisha Wanawake Vizuri katika majukumu yake, wakati  wa Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT uliofanyika  katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527