NEC YAMTEUA MUTTAMWEGA MGAYWA KUWA MGOMBEA WA URAIS WA TANZANIA KWA TIKETI YA CHAMA CHA SAU | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, August 25, 2020

NEC YAMTEUA MUTTAMWEGA MGAYWA KUWA MGOMBEA WA URAIS WA TANZANIA KWA TIKETI YA CHAMA CHA SAU

  Malunde       Tuesday, August 25, 2020
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kupitia kwa Mwenyekiti wake Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage, imewateua Muttamwega Mgaywa kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Satia Musa kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kupitia chama cha SAU.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post