Maalim Seif achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, August 30, 2020

Maalim Seif achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar

  Malunde       Sunday, August 30, 2020
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo  Maalim Seif Sharif Hamad amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar leo August 30, 2020 katika ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).

Akitoa fomu hizo na kueleza masharti yanayopaswa kuzingatiwa na wagombea hao, Mwenyekiti wa ZEC Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud amesema wagombea hao wanatakiwa  kusaka wadhamini na kurejesha fomu hizo baadaye kwa uhakiki.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post