Tanzia: MKUU WA KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI WCF, CPA SHADRACK O. AIKO AFARIKI DUNIA



Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) , kwa niaba ya Bodi ya Wadhamini, anasikitika kutangaza kifo cha Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani CPA
Shadrack O. Aiko kilichotokea tarehe 24 Agosti, 2020 jijini Dodoma.


Mfuko unatoa pole kwa familia ya marehemu, wafanyakazi wenzake, ndugu, jamaa na marafiki. Taratibu za mazishi zinafanyika Bunju, Jijini Dar es Salaam na maziko
yatafanyika tarehe 30 Agosti 2020 Shirati, Rorya mkoani Mara.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527