TIGO NA INFINIX WAZINDUA HOT 9 PLAY NANENANE | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, August 5, 2020

TIGO NA INFINIX WAZINDUA HOT 9 PLAY NANENANE

  Malunde       Wednesday, August 5, 2020


Meneja wa bidhaa za intaneti kutoka Tigo Mkumbo Myonga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani ) mapema Leo wakati wa uzinduzi simu Mpya aina ya Infinix hot 9 play.Pembeni yake ni Meneja Uhusiano wa Infinix ,Saiphon Asajile uzinduzi huo umefanyika jijini Dodoma.
Meneja Uhusiano wa Infinix ,Saiphon Asajile akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa simu Mpya aina ya infinix hot 9 play na Kulia kwake ni Meneja wa bidhaa za intaneti kutoka Tigo Mkumbo Myonga .Uzinduzi hum umefanyika mapema leo Jijini Dodoma.
****


Kampuni inayoongoza katika kuhakikisha mtanzania anaishi maisha ya kidijitali leo kwa kushirikiana na kampuni ya uuzwaji wa simu za mkononi,Infinix, wamezindua Infinix hot 9 play.

Kupitia kauli mbiu ya Maonesho kwa Mwaka 2020 isemayo “Kwa Maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Chagua Viongozi Bora 2020“. Tigo imeweza kumsaidia mkulima kutatua changamoto mbali mbali Tanzania nzima.

Akizungumza leo jijini Dodoma Meneja wa bidhaa za intaneti kutoka Tigo Mkumbo Myonga amesema katika maonesho hayo wameingia makubaliano na baadhi ya kampuni za uuzaji vifaa vya simu ambazo zina sifa na ubora kwa matumizi ya watanzania.

Kwa upande wa Infinix Meneja Uhusiano,Saiphon Asajile, amesema kwamba simu hii ya Hot 9 play, ni simu janja inayokaa na chaji kwa muda mrefu, simu hii inauzwa Tshs 320,000, na mteja atakapo nunua atapata intaneti 78 GB bure kwa mwaka mzima na waranti miezi 13.

Msimu huu wa Nane nane, kuwa mmiliki wa simu janja kutoka Tigo kwa bei nafuu,na upate intaneti 78GB bure kwa muda wa mwaka mzima,kwaajili ya kuperezi na kufurahia mtandao wenye kasi wa Tigo 4G+.

Tembelea mabanda ya Tigo katika viwanja vya Nane Nane
 ·      Morogoro·      Dodoma·      Simiyu·      Arusha      Mwanza·      Tabora·      Mbeya·      Lindi

Miliki simu janja leo ili uweze kufurahia huduma na bidhaa  kama Tigo Pesa na vifurushi vya intaneti na pia kuisajili laini yako ya simu kwa mfumo wa alama za vidole

Tigo Live it,Tigo love it.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post