Video: MGOMBEA ATUMIA LUGHA YA KICHINA KUOMBA KURA JIMBO LA KAWE
Tuesday, July 21, 2020
Uchaguzi wa kura za maoni kwenye Jimbo la Kawe Dar es salaam unaendelea muda huu ambapo Watia nia mbalimbali wanajinadi mbele ya wajumbe.
Mtia Nia namba 75 yeye kaamua kutumia lugha ya kichina kufikisha ujumbe wake
==>>Tazama hapo chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin