STEPHEN WASIRA ASHINDWA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA BUNDA MJINI


Zoezi la kuhesabu kura za maoni katika Jimbo la Bunda Mjini umekamilika, ambapo Robert Chacha Maboto ameongoza kwa kupata kura 140, akifuatiwa na Stephen Wasira aliyepata kura 115. 

 ---------
Robart Maboto kura 140
 Stephen Wasira kura 115 
Zuru Nanji kura 63


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post