OLE SENDEKA AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA SIMANJIRO

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka, ameongoza katika uchaguzi wa kura za maoni wa Jimbo la Simanjiro kwa kupata kura za 309, akifuatiwa na Kiria aliyepata kura 47 na wa tatu ni Matei aliyepata kura 17.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527