MAMA SALMA KIKWETE ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA MCHINGA | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, July 15, 2020

MAMA SALMA KIKWETE ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA MCHINGA

  Malunde       Wednesday, July 15, 2020
Aliyekuwa Mbunge wa kuteuliwa ambaye pia ni Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya 4, Mh. Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika jimbo la Mchinga Mkoa wa Lindi.

Mama Salma amechukua fomu hizo leo Jumatano tarehe 15 Julai 2020 kuwania jimbo hilo ambalo lilikuwa likiongozwa na Hamidu Bobali wa Chama Cha Wananchi (CUF).

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post