MHANDISI NGELEJA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MISUNGWI


Mhandisi  Pharles Elisha Ngeleja akionesha  fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Misungwi mkoani Mwanza kupitia CCM leo Jumanne Julai 14,2020
Mhandisi  Pharles Elisha Ngeleja akikabidhiwa  fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Misungwi mkoani Mwanza kupitia CCM leo Jumanne Julai 14,2020

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527