HUSSEIN BASHE AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA NZEGA

Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewashinda watia nia wenzake 12 wa Ubunge jimbo la Nzega mjini kwa kura 367 kati ya kura 376 zilizopigwa, sawa na asilimia 97.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post